We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Ezekieli 27

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Ezekieli 26 Ezekieli Ezekieli 28 →

1Neno la Bwana likanijia kusema:

2“Mwanadamu, fanya maombolezo kwa ajili ya Tiro.

3Umwambie Tiro, ulioko kwenye lango la bahari, ufanyao biashara na mataifa mengi ya pwani, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:

4Mipaka yako ilikuwa katika moyo wa bahari,

5Walizifanya mbao zako zote

6Walichukua mialoni toka Bashani

7Kitani safi kilichotariziwa kutoka Misri kilikuwa tanga lako,

8Watu kutoka Sidoni na Arvadi walikuwa wapiga makasia yako;

9Wazee wa Gebali27:9 Yaani Bubilo, mji wa zamani sana wa Ufoinike (kama kilomita 80 kaskazini mwa Beiruti). pamoja na mafundi stadi

10“ ‘Watu wa Uajemi, Ludi na Putu

11Watu wa Arvadi na wa Heleki

12“ ‘Tarshishi walifanya biashara nawe kwa sababu ya utajiri wako mkubwa wa bidhaa, walibadilisha fedha, chuma, bati na risasi kwa mali zako.

13“ ‘Uyunani, Tubali na Mesheki, walifanya biashara nawe, walibadilisha watumwa na vyombo vya shaba kwa bidhaa zako.

14“ ‘Watu wa Beth-Togarma walibadilisha farasi wa mizigo, farasi wa vita na nyumbu kwa mali zako.

15“ ‘Watu wa Dedani27:15 Yaani Rhodes. walifanya biashara nawe, watu wengi wa nchi za pwani walikuwa wachuuzi wako, walikulipa kwa pembe za ndovu na mpingo.

16“ ‘Watu wa Aramu walifanya biashara nawe kwa ajili ya wingi wa kazi za mikono yako, wakibadilishana kwa almasi, vitambaa vya rangi ya zambarau, vitambaa vilivyotariziwa, kitani safi, matumbawe27:16 Yaani marijani, jiwe laini la pwani au baharini, kama mawe ya chokaa. na akiki nyekundu.

17“ ‘Yuda na Israeli walifanya biashara nawe, walibadilishana kwa ngano kutoka Minithi, mtama, asali, mafuta na zeri ya kuponyeshea.

18“ ‘Dameski, kwa sababu ya wingi wa kazi za mikono yako na ukuu wa utajiri wa mali, walifanya biashara nawe wakibadilishana mvinyo kutoka Helboni na sufu kutoka Zahari.

19“ ‘Wadani na Wayunani kutoka Uzali, walikuletea mali za biashara, nao wakabadilishana nawe chuma kilichofuliwa, mdalasini na mchaichai.

20“ ‘Dedani alifanya biashara nawe kwa matandiko ya farasi.

21“ ‘Arabuni na wakuu wote wa Kedari walikuwa wanunuzi wako waliobadilishana bidhaa zako na wana-kondoo, kondoo dume na mbuzi.

22“ ‘Wafanyabiashara wa Sheba na wa Raama walifanya biashara nawe, wakabadilishana bidhaa zako na aina zote za vikolezi, vito vya thamani na dhahabu.

23“ ‘Harani, Kane na Edeni na wafanyabiashara wa Sheba, Ashuru na Kilmadi walifanya biashara nawe.

24Kwenye soko lako, walifanya biashara nawe kwa mavazi mazuri, vitambaa vya buluu, nguo za kutariziwa na mazulia ya rangi mbalimbali yenye kamba zilizosokotwa na kuwekwa mafundo imara.

25“ ‘Merikebu za Tarshishi ndizo

26Wapiga makasia wako wanakupeleka

27Utajiri wako, bidhaa zako na mali zako,

28Nchi za pwani zitatetemeka

29Wote wapigao makasia

30Watapaza sauti zao

31Watanyoa nywele zao kwa ajili yako,

32Watakapokuwa wanalia na kuomboleza juu yako,

33Wakati bidhaa zako zilipotoka baharini,

34Sasa umevunjavunjwa na bahari,

35Wote waishio katika nchi za pwani

36Wafanyabiashara miongoni mwa mataifa wanakucheka;

← Ezekieli 26 Ezekieli Ezekieli 28 →