1Mkumbuke Muumba wako
2kabla jua na nuru,
3siku ile walinzi wa nyumba watakapotetemeka,
4wakati milango ya kuingia barabarani itakapofungwa
5wakati watu watakapoogopa kilichoinuka juu
6Mkumbuke Muumba wako: kabla haijakatika kamba ya fedha,
7nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka,
8Mhubiri asema, “Ubatili! Ubatili!
9Mhubiri hakuwa tu na hekima, bali aliwagawia watu maarifa pia. Alitafakari na kutafiti na akaweka katika utaratibu mithali nyingi.
10Mhubiri alitafiti ili kupata maneno sahihi na kila alichoandika kilikuwa sawa na kweli.
11Maneno ya wenye hekima ni kama mchokoro, mithali zao zilizokusanywa pamoja ni kama misumari iliyogongomewa ikawa imara, yaliyotolewa na Mchungaji mmoja.
12Tena zaidi ya hayo, mwanangu, kubali maonyo, hakuna mwisho wa kutunga vitabu vingi, nako kusoma sana huuchosha mwili.
13Hii ndiyo jumla ya maneno;
14Kwa maana Mungu ataleta hukumuni kila kazi,