We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Wimbo 2

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Wimbo 1 Wimbo Wimbo 3 →

1Mimi ni ua la Sharoni,

2Kama yungiyungi katikati ya miiba

3Kama mti wa mtofaa miongoni mwa miti ya msituni

4Amenichukua mpaka kwenye ukumbi wa karamu,

5Nitie nguvu kwa zabibu kavu,

6Mkono wake wa kushoto uko chini ya kichwa changu,

7Binti za Yerusalemu, ninawaagiza

8Sikiliza! Mpenzi wangu!

9Mpenzi wangu ni kama paa au ayala kijana.

10Mpenzi wangu alizungumza na kuniambia,

11Tazama! Wakati wa masika umepita,

12Maua yanatokea juu ya nchi;

13Mtini unatunga matunda yake ya mwanzoni,

14Hua wangu penye nyufa za majabali,

15Tukamatie mbweha,

16Mpenzi wangu ni wangu, nami ni wake,

17Mpaka jua linapochomoza,

← Wimbo 1 Wimbo Wimbo 3 →