1Sikia neno hili, ee nyumba ya Israeli, ombolezo hili ninalifanya kuwahusu ninyi:
2“Bikira Israeli ameanguka,
3Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:
4Hili ndilo Bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli:
5msitafute Betheli,
6Mtafuteni Bwana mpate kuishi,
7Ninyi ambao mnageuza haki kuwa uchungu
8(yeye ambaye alifanya Kilimia na Orioni,
9yeye hufanya maangamizo kwenye ngome
10mnamchukia yule akemeaye mahakamani,
11Mnamgandamiza maskini
12Kwa kuwa ninajua hesabu ya makosa yenu
13Kwa hiyo mtu mwenye busara hunyamaza kimya nyakati kama hizo,
14Tafuteni mema, wala si mabaya,
15Yachukieni maovu, yapendeni mema;
16Kwa hiyo hili ndilo Bwana, Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote, asemalo:
17Kutakuwepo kuomboleza katika mashamba yote ya mizabibu,
18Ole wenu ninyi mnaoitamani
19Itakuwa kama vile mtu aliyemkimbia simba
20Je, siku ya Bwana haitakuwa giza, na si nuru:
21“Ninachukia, ninazidharau sikukuu zenu za dini;
22Hata ingawa mnaniletea sadaka zenu za kuteketezwa na sadaka za nafaka,
23Niondoleeni kelele za nyimbo zenu!
24Lakini acheni haki itiririke kama mto,
25“Je, mliniletea dhabihu na sadaka
26Mmeyainua madhabahu ya mfalme wenu,
27Kwa sababu hiyo nitawapeleka uhamishoni mbali kupita Dameski,”