We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Amosi 1

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

Amosi Amosi 2 →

1Maneno ya Amosi, mmoja wa wachunga wanyama wa Tekoa: yale aliyoyaona kuhusu Israeli miaka miwili kabla ya tetemeko la ardhi, wakati Uzia alikuwa mfalme wa Yuda, na Yeroboamu mwana wa Yehoashi alikuwa mfalme wa Israeli.

2Alisema:

3Hili ndilo asemalo Bwana:

4Nitatuma moto juu ya nyumba ya Hazaeli

5Nitalivunja lango la Dameski;

6Hili ndilo asemalo Bwana:

7nitatuma moto juu ya kuta za Gaza

8Nitamwangamiza mfalme wa Ashdodi

9Hili ndilo asemalo Bwana:

10Nitatuma moto kwenye kuta za Tiro

11Hili ndilo Bwana asemalo:

12Nitatuma moto juu ya Temani

13Hili ndilo asemalo Bwana:

14Nitatuma moto kwenye kuta za Raba

15Mfalme wake atakwenda uhamishoni,

Amosi Amosi 2 →