We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 132

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 131 Zaburi Zaburi 133 →

1Ee Bwana, mkumbuke Daudi

2Aliapa kiapo kwa Bwana

3“Sitaingia nyumbani mwangu

4sitaruhusu usingizi katika macho yangu,

5mpaka nitakapompatia Bwana mahali,

6Tulisikia habari hii huko Efrathi,

7“Twendeni kwenye makao yake,

8inuka, Ee Bwana, uje mahali pako pa kupumzikia,

9Makuhani wako na wavikwe haki,

10Kwa ajili ya Daudi mtumishi wako,

11Bwana alimwapia Daudi kiapo,

12kama wanao watashika Agano langu

13Kwa maana Bwana ameichagua Sayuni,

14“Hapa ni mahali pangu pa kupumzika milele na milele;

15Nitambariki kwa kumpa mahitaji tele:

16Nitawavika makuhani wake wokovu,

17“Hapa nitamchipushia Daudi pembe,132:17 Pembe inawakilisha nguvu.

18Adui zake nitawavika aibu,

← Zaburi 131 Zaburi Zaburi 133 →