1Tazama jinsi mji ulivyoachwa ukiwa,
2Kwa uchungu, hulia sana usiku,
3Baada ya mateso na kufanyishwa kazi kikatili,
4Barabara zielekeazo Sayuni zaomboleza,
5Adui zake wamekuwa mabwana zake,
6Fahari yote imeondoka
7Katika siku za mateso yake na kutangatanga,
8Yerusalemu ametenda dhambi sana
9Uchafu wake umegandamana na nguo zake;
10Adui ametia mikono
11Watu wake wote wanalia kwa uchungu
12“Je, si kitu kwenu, ninyi nyote mpitao kando?
13“Kutoka juu alipeleka moto,
14“Dhambi zangu zimefungwa kwenye nira,
15“Bwana amewakataa wapiganaji wa vita
16“Hii ndiyo sababu ninalia
17Sayuni ananyoosha mikono yake,
18“Bwana ni mwenye haki,
19“Niliita washirika wangu
20“Angalia, Ee Bwana, jinsi nilivyo katika dhiki!
21“Watu wamesikia ninavyolia kwa uchungu,
22“Uovu wao wote na uje mbele zako;