1Kisha Ayubu akajibu:
2“Tazama jinsi ulivyomsaidia mtu asiye na uwezo!
3Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima?
4Ni nani aliyekusaidia kutamka maneno hayo?
5“Wafu wako katika maumivu makuu,
6Mauti26:6 Yaani Kuzimu; Kiebrania ni Sheol. iko wazi mbele za Mungu;
7Hutandaza anga la kaskazini mahali patupu;
8Huyafungia maji kwenye mawingu yake,
9Huufunika uso wa mwezi mpevu,
10Amechora mstari wa upeo juu ya uso wa maji,
11Nguzo za mbingu nazo zatetemeka,
12Kwa nguvu zake aliisukasuka bahari;
13Aliisafisha anga kwa pumzi yake;
14Haya ni mambo madogo tu katika matendo yake;