1Ndipo Debora na Baraka mwana wa Abinoamu wakaimba wimbo huu:
2“Wakuu katika Israeli wanapoongoza,
3“Sikieni hili, enyi wafalme!
4“Ee Bwana, ulipotoka katika Seiri,
5Milima ilitetemeka mbele za Bwana,
6“Katika siku za Shamgari mwana wa Anathi,
7Mashujaa walikoma katika Israeli,
8Walipochagua miungu migeni,
9Moyo wangu u pamoja na wakuu wa Israeli,
10“Nanyi mpandao punda weupe,
11juu ya sauti za waimbaji
12‘Amka, amka! Debora!
13“Ndipo mabaki ya watu
14Kutoka Efraimu wakaja watu, ambao chimbuko lao ni Amaleki;
15Wakuu wa Isakari walikuwa pamoja na Debora;
16Kwa nini ulikaa katikati ya mazizi ya kondoo
17Gileadi alikaa ngʼambo ya Yordani.
18Watu wa Zabuloni walihatarisha maisha yao,
19“Wafalme walikuja na kufanya vita;
20Kutoka mbinguni nyota zilipigana,
21Mto wa Kishoni uliwasomba,
22Ndipo kwato za farasi zikafanya mshindo:
23Malaika wa Bwana akasema, ‘Merozi alaaniwe.
24“Yaeli abarikiwe kuliko wanawake wote,
25Aliomba maji, naye akampa maziwa;
26Akanyoosha mkono wake
27Aliinama miguuni pa Yaeli,
28“Kupitia dirishani mamaye Sisera alichungulia;
29Wanawake wenye busara
30‘Je, hawapati na kugawanya nyara:
31“Adui zako wote na waangamie, Ee Bwana!