1Hili ni neno la Bwana lililomjia nabii Yeremia kuhusu mataifa:
2Kuhusu Misri:
3“Wekeni tayari ngao zenu, kubwa na ndogo,
4Fungieni farasi lijamu,
5Je, ninaona nini?
6Walio wepesi na wenye mbio hawawezi kukimbia,
7“Ni nani huyu ajiinuaye kama Mto Naili,
8Misri hujiinua kama Mto Naili,
9Songeni mbele, enyi farasi!
10Lakini ile siku ni ya Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote,
11“Panda hadi Gileadi ukapate zeri,
12Mataifa yatasikia juu ya aibu yako,
13Huu ndio ujumbe Bwana aliomwambia nabii Yeremia kuhusu kuja kwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ili kuishambulia Misri:
14“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli,
15Kwa nini mashujaa wako wamesombwa
16Watajikwaa mara kwa mara,
17Huko watatangaza,
18“Kwa hakika kama niishivyo,” asema Mfalme,
19Funga mizigo yako kwenda uhamishoni,
20“Misri ni mtamba mzuri,
21Askari wake waliokodiwa katika safu zake
22Misri atatoa sauti kama ya nyoka anayekimbia
23Wataufyeka msitu wake,”
24Binti wa Misri ataaibishwa,
25Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asema: “Nakaribia kuleta adhabu juu ya Amoni mungu wa Thebesi,46:25 Thebesi kwa Kiebrania ni No (au No-Amoni), mji katika Misri. na juu ya Farao, Misri na miungu yake, na wafalme wake, pamoja na wale wanaomtegemea Farao.
26Nitawatia mikononi mwa wale wanaotafuta uhai wao, yaani Nebukadneza mfalme wa Babeli na maafisa wake. Hatimaye, hata hivyo, Misri itakaliwa kama nyakati zilizopita,” asema Bwana.
27“Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu,
28Usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu,