We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Yeremia 20

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Yeremia 19 Yeremia Yeremia 21 →

1Ikawa kuhani Pashuri mwana wa Imeri, mkuu wa maafisa wa Hekalu la Bwana, alipomsikia Yeremia akitoa unabii juu ya mambo haya,

2akaamuru Yeremia nabii apigwe na kufungwa kwenye mkatale katika Lango la Juu la Benyamini huko Hekaluni la Bwana.

3Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “Bwana hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu.20:3 Magor-Misabibu maana yake hapa ni Vitisho pande zote.

4Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: ‘Nitakufanya kuwa hofu kuu kwako wewe mwenyewe na rafiki zako wote, na kwa macho yako mwenyewe utawaona wakianguka kwa upanga wa adui zao. Nitawatia Yuda wote mikononi mwa mfalme wa Babeli, ambaye atawachukua na kuwapeleka Babeli, ama awaue kwa upanga.

5Nitatia utajiri wote wa mji huu kwa adui zao: yaani mazao yao yote, vitu vyao vyote vya thamani, na hazina zote za wafalme wa Yuda. Watavitwaa kwa nyara na kuvipeleka Babeli.

6Nawe Pashuri pamoja na wote waishio katika nyumba yako mtakwenda uhamishoni Babeli. Mtafia humo na kuzikwa, wewe na rafiki zako wote ambao umewatabiria uongo.’ ”

7Ee Bwana, umenidanganya,

8Kila ninenapo, ninapiga kelele

9Lakini kama nikisema, “Sitamtaja

10Ninasikia minongʼono mingi,

11Lakini Bwana yu pamoja nami

12Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote,

13Mwimbieni Bwana!

14Ilaaniwe siku niliyozaliwa!

15Alaaniwe mtu yule aliyemletea baba yangu habari,

16Mtu huyo na awe kama miji ile

17Kwa sababu hakuniua nikiwa tumboni,

18Kwa nini basi nilitoka tumboni

← Yeremia 19 Yeremia Yeremia 21 →