We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Yeremia 2

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Yeremia 1 Yeremia Yeremia 3 →

1Neno la Bwana lilinijia kusema,

2“Nenda ukahubiri masikioni mwa watu wa Yerusalemu:

3Israeli alikuwa mtakatifu kwa Bwana,

4Sikia neno la Bwana, ee nyumba ya Yakobo,

5Hivi ndivyo asemavyo Bwana:

6Hawakuuliza, ‘Yuko wapi Bwana,

7Niliwaleta katika nchi yenye wingi wa vitu

8Makuhani hawakuuliza,

9“Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,”

10Vuka, nenda ngʼambo mpaka pwani ya Kitimu2:10 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. nawe uangalie,

11Je, taifa limebadili miungu yake wakati wowote?

12Shangaeni katika hili, ee mbingu,

13“Watu wangu wametenda dhambi mbili:

14Je, Israeli ni mtumishi, yaani mtumwa kwa kuzaliwa?

15Simba wamenguruma;

16Pia watu wa Memfisi2:16 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. na Tahpanhesi2:16 Tahpanhesi ni mji katika nchi ya Misri.

17Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe

18Sasa kwa nini uende Misri

19Uovu wako utakuadhibu;

20“Zamani nilivunja nira yako

21Nilikupanda ukiwa mzabibu ulio bora sana,

22Hata ujisafishe kwa magadi

23“Wawezaje kusema, ‘Mimi si najisi,

24punda-mwitu aliyezoea jangwa,

25Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu,

26“Kama vile mwizi aaibikavyo wakati amekamatwa,

27Wanaiambia miti, ‘Wewe ndiwe baba yangu,’

28Iko wapi basi ile miungu mliyojitengenezea?

29“Kwa nini mnaleta mashtaka dhidi yangu?

30“Nimeadhibu watu wako bure tu,

31“Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la Bwana:

32Je, mwanamwali husahau vito vyake,

33Je, wewe una ustadi kiasi gani katika kufuatia mapenzi!

34Katika nguo zako watu huona

35unasema, ‘Sina hatia;

36Kwa nini unatangatanga sana,

37Pia utaondoka mahali hapo

← Yeremia 1 Yeremia Yeremia 3 →