We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Ayubu 40

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Ayubu 39 Ayubu Ayubu 41 →

1Bwana akamwambia Ayubu:

2“Je, mwenye kushindana na Mwenyezi aweza kumsahihisha?

3Ndipo Ayubu akamjibu Bwana:

4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe?

5Nimesema mara moja, lakini sina jibu;

6Ndipo Bwana akasema na Ayubu kutoka upepo wa kisulisuli:

7“Jikaze kama mwanaume;

8“Je, utabatilisha hukumu yangu?

9Je, una mkono kama wa Mungu,

10Basi jivike mwenyewe utukufu na fahari,

11Fungulia ukali wa ghadhabu yako,

12mwangalie kila mtu mwenye kiburi na umnyenyekeze,

13Wazike wote mavumbini pamoja;

14Ndipo mimi mwenyewe nitakukubalia

15“Mwangalie mnyama aitwaye Behemothi,40:15 Huyu alikuwa mnyama wa nyakati za zamani ambaye hajulikani hasa ni gani.

16Tazama basi nguvu alizo nazo kwenye viuno vyake,

17Mkia wake hutikisika kama mwerezi;

18Mifupa yake ni bomba za shaba,

19Yeye ni wa kwanza miongoni mwa kazi za Mungu,

20Vilima humletea yeye mazao yake,

21Hulala chini ya mimea ya yungiyungi,

22Hiyo mimea ya yungiyungi humficha kwenye vivuli vyake;

23Wakati mto ufurikapo, yeye hapati mshtuko wa hofu;

24Je, mtu yeyote anaweza kumkamata yeye akiwa macho,

← Ayubu 39 Ayubu Ayubu 41 →