We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Mhubiri 1

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

Mhubiri Mhubiri 2 →

1Maneno ya Mhubiri, mwana wa Daudi, mfalme huko Yerusalemu:

2“Ubatili mtupu! Ubatili mtupu!”

3Mwanadamu anafaidi nini kutokana na kazi yake yote

4Vizazi huja na vizazi hupita,

5Jua huchomoza na jua huzama,

6Upepo huvuma kuelekea kusini

7Mito yote hutiririka baharini,

8Vitu vyote vinachosha,

9Kile kilichokuwepo kitakuwepo tena,

10Kuna kitu chochote ambacho mtu anaweza kusema,

11Hakuna kumbukumbu ya watu wa zamani,

12Mimi, Mhubiri, nilikuwa mfalme wa Israeli katika Yerusalemu.

13Nilitumia muda wangu wote kujifunza na kuvumbua kwa hekima yote yanayofanyika chini ya mbingu. Jinsi gani Mungu ameweka mzigo mzito juu ya wanadamu!

14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo.

15Kilichopindika hakiwezi kunyooshwa,

16Niliwaza mwenyewe, “Tazama, nimekua na kuongezeka katika hekima kuliko yeyote aliyewahi kutawala Yerusalemu kabla yangu. Nimekuwa na uzoefu mkubwa wa hekima na maarifa.”

17Ndipo nilipojitahidi kufahamu kutofautisha hekima, wazimu na upumbavu, lakini nikatambua hata hili nalo ni kukimbiza upepo.

18Kwa kuwa hekima nyingi huleta huzuni kubwa;

Mhubiri Mhubiri 2 →