1Baada ya haya nikaona malaika mwingine akishuka kutoka mbinguni, akiwa na mamlaka makuu na dunia ikamulikiwa na mngʼao wake.
2Naye akalia kwa nguvu kwa sauti kubwa, akisema:
3Kwa maana mataifa yote yamekunywa
4Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni ikisema:
5kwa kuwa dhambi zake zimelundikana hadi mbinguni,
6Mtendee kama yeye alivyotenda;
7Mpatie mateso na huzuni nyingi sawa na
8Kwa hiyo mapigo yatampata kwa siku moja:
9“Wafalme wa dunia waliozini naye na kushiriki anasa zake watakapoona moshi wa kuungua kwake, watamlilia na kumwombolezea.
10Kwa hofu kubwa ya mateso yake, watasimama mbali na kulia na wakisema:
11“Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumwomboleza kwa sababu hakuna anunuaye bidhaa zao tena:
12Bidhaa za dhahabu, za fedha, za vito vya thamani na vya lulu, kitani safi, nguo za rangi ya zambarau, hariri, nguo nyekundu, aina zote za miti ya udi, na vifaa vyote vya pembe za ndovu, vifaa vyote vya miti yenye thamani kuliko yote, shaba, chuma na marmar,
13bidhaa za mdalasini, vikolezi, za uvumba, manemane, na uvumba wenye harufu nzuri, za divai, na mafuta ya zeituni, za unga mzuri na ngano; ngʼombe na kondoo; farasi na magari; na miili na roho za wanadamu.
14“Watasema, ‘Yale matunda ambayo roho yako iliyatamani yamekoma. Utajiri wako wote na fahari yako vimetoweka, wala haviwezi kupatikana tena kamwe!’
15Wale wafanyabiashara waliotajirika kwa bidhaa hizo kutoka kwake watasimama mbali naye kwa hofu kubwa ya mateso yanayompata. Watalia na kuomboleza wakipiga kelele wakisema:
16“ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa,
17Katika muda wa saa moja utajiri wote mkubwa
18Watakapouona moshi wa kuungua kwake watalia wakisema, ‘Je, kulipata kuwako mji mkubwa kama huu?’
19Nao watajirushia mavumbi vichwani mwao, huku wakilia na kuomboleza, wakisema:
20Furahia kwa ajili yake, ee mbingu!
21Kisha malaika mmoja mwenye nguvu akainua jiwe kubwa kama la kusagia akalitupa baharini akisema:
22Nyimbo za wapiga vinubi na waimbaji,
23Mwanga wa taa
24Ndani yake ilionekana damu ya manabii na ya watakatifu