1Hili ndilo alilonionyesha Bwana Mwenyezi katika maono: kikapu cha matunda yaliyoiva.
2Akaniuliza, “Amosi, unaona nini?”
3Bwana Mwenyezi asema, “Katika siku ile, nyimbo katika Hekalu zitageuka kuwa maombolezo. Miili mingi, mingi sana: itatupwa kila mahali! Kimya!”
4Lisikieni hili, ninyi ambao mnawagandamiza wahitaji,
5mkisema,
6mkiwanunua maskini kwa fedha,
7Bwana ameapa kwake mwenyewe, aliye Kiburi cha Yakobo: “Kamwe sitasahau chochote ambacho wamefanya.
8“Je, nchi haitatetemeka kwa ajili ya hili,
9“Katika siku ile,” asema Bwana Mwenyezi,
10Nitageuza sikukuu zenu za kidini kuwa maombolezo,
11“Siku zinakuja,” asema Bwana Mwenyezi,
12Wanaume watayumbayumba kutoka bahari hadi bahari
13“Katika siku ile
14Wale waapao kwa aibu ya Samaria,